Maudhui Mbalimbali Katika Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Maudhui Mbalimbali Katika Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Maudhui Mbalimbali Katika Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine

Download Maudhui mbalimbali katika mapambazuko ya Machweo na hadithi nyingine, kitabu hiki hueleza jinsi maudhui mbali mbali hutokea katika hadithi hii. mwanafunzi anapaswa kusoma kitabu cha mapambazuko ya machweo zaidi ya mara mbili na kuelewa zaidi.
Kuhusu maudhui ya mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine
MAUDHUI MBALIMBALI KATIKA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI ZINGINE
FADHILA ZA PUNDA; RACHEAL WANGARI
Maudhui
1. Nafasi ya Mwanamke
Mwanamke anatukuzwa na wakati huo huo kukandamizwa katika jamii kwa njia zifuatazo;
Mwanamke ni mshawishi;Lilia anamshawishi babake Lee imani amruhusu Luka aje kwao. Anafanikiwa katika hili ambapo anakuja
na kuanza kuishi kwao.

Mwanamke ni msomi; Lilia anasoma kwa bidii hadi kujiunga na chuo ambako anasoma akiwa na Luka.Wanakutana katika chuo hiki na kuendelea kusoma naye.
Mwanamke ni mtu mwenye mapenzi;Lilia anampenda sana Luka kiasi cha kumshauri babake kumwalika kwao.Anapotengana na Luka ambaye anaenda kuishi na mhubiri mwingine, wanaendelea kuwasiliana kwa barua na simu kama njia kupalilia mapenzi yao.
Mwanamke ni mnyenyekevu;Lilia anamnyenyekea kwa mumewe Luka siku zote kiasi kwamba hataki kufanya jambo linaloweza kuifanya ndoa ya ivunjike.Ingawa anafahamishwa na watu kuwa mumewe ni mzinifu,hataki kumwuliza ilu asije akazua bughudha katika ndoa yao.
Ni mtetezi wa haki;Mamake Luka anatetea haki ya Lilia kutodhulumiwa na mumewe Luka kwa kupigwa.Yuko tayari kushtaki ikiwa mwanaume huyu ataendelea kumdhulumu mkewe.
Mwanamke ni mfanyikazi;Lilia anafanya kazi ya umeneja katika benki moja mjini.Ni kutokana na kazi hili ambapo anajipatiariziki ya kulisukana gurudumu ya maisha yake.
Mwanamke ni mtu mwenye kuzomea wengine;Mamake Luka anamzomea Luka kutokana na kumpiga na kumwumiza mkewe,Lilia.Anatisha kuripoti kisa hiki kwa polisi na wanahabari ikiwa hatamshughulikia mkewe kwa kumpeleka kwa kumpeleka kwa matibabu haraka iwezekanavyo.Ni kutokana na hili ambapo ambulensi inakuja na kumchukua mwanamkehuyu na kumpeleka hospitalini.
Mwanamke ni mpishi;Lilia anampikia mumewe Luka chakula.Hata hivyo,anapoileta ikiwa na chumvi chache anapigwa sana sana na mume huyu.

Maudhui na sifa za wahusika katika tamthilia ya Bembea ya Maisha
Mwanamkeanadhulumiwa na mwanamume kwa kupigwa;Lilia anapigwa mara kwa mara na mumewe Luka,na kuumizwa sana.Hata ana majeraha kipajini kutokana na kupigwa na mumewe bila sababu maalum.
Mwanamke ni msalihina;Lilia anamcha mungu na ndipo anaenda kanisani kwa masomo kutoka kwa mwalimu wao pamoja na kupta mhubiri ya jumapili kutoka kwa babako ambaye ni mhubiri kwa jina Senior pastor Lee Imani.
Mwanamke ni chombo cha mapenzi;Gavana Luka ana wanawake wengi anaoshiriki mapenzi nao.Mathalan,kuna mwanamke mpenziwe anayeandamana naye katika mikutano mbalimbali.
Mwanamke ni mtu wa kustawisha;Lilia amefanywa kuwa mtawa na mumewe Luka kiasi kwamba hawezi akatoka nje ya nyumba yake na kujuliana hali na marafiki zake.
Mwanamke ni mlezi;Mamake Luka na mamake Lilia wanawalea wanao hadi kufika viwango vya umri walivyo hivi sasa.
Mwanam,ke ni mtu mwenye wasiwasi;Lilia ana wasiwasi kwamba akilala akatae kumfungulia mumewe nyumba usiku atapokea kichapo cha mbwa. Jambo hili linamfanya kumgojea mumewe hadi saa nane za usiku ndipo amfungulie nyumbani akija.
Mwanamke ni mwenye kutunza mazingira;Mhubiri Lee Imani anamwajiri mwanamke wa kumtunzia mazingira ya kanisani kwa kuyanadhihisha.
Mwanamke ni mtu anayekumbwa na mshangao;Lilia anapigwa na butwaa anapogundua kwamba kanisa lao limeuzwa na mumewe bila yeye kufahamishwa habari hizi.
Mwanamke ni mtu anayechukua tahadhari;Anachukua tahadhari ya kuripoti kilichompeleka katika kituo cha polisi kutokana na ukweli kwamba mkuu wa kituo hiki anafahamiana na Luka, ambaye anakuja kumshtaki kwa maafisa hawa wa polisi kutokana na kudhulumiwa naye.


MWONGOZO WA KIDAGAA KIMEMWOZEA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADIDITHI ZINGINE(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHOZI LA HERI(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHOZI LA HERI NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHECHE ZA MOTO
mecs cluster joint revision exams 2022(Opens in a new browser tab)
2022 lanjet examination mock(Opens in a new browser tab)
2022 KAKAMEGA EVALUATION MOCK(Opens in a new browser tab)
TERM 2 HOLIDAY ASSIGNMENTS 2022(Opens in a new browser tab)
FORM 1 2 3 4 TERM 3 OPENER EXAMS(Opens in a new browser tab)
2022 MUMIAS JOINT EVALUATION(Opens in a new browser tab)
kcse 2022 trials question answers(Opens in a new browser tab)
Mumias West Joint Evaluation Exams(Opens in a new browser tab)
2022 CEKENAS REVISION EXAMS(Opens in a new browser tab)
2022 SUNRISE REVISION EXAMS
kcse 2022 trials exams(Opens in a new browser tab)
bembea ya maisha mwongozo(Opens in a new browser tab)
GRADE 1 2 3 4 5 6 TERM 3 SCHEMES OF WORK 2022(Opens in a new browser tab)
KCSE 2022 kapsabet mock REVISION answers