bembea ya maisha mwongozo

bembea ya maisha mwongozo

bembea ya maisha mwongozoIf you need bembea ya maisha mwongozo
send sh180 , lipa na mpesa , buy goods — till no. 5169393

Then text 0722546300 ,We will send it in you email /whatsapp immediately.


WONGOZO WA BEMBEA YA MAISHA
UTANGULIZI
VIGEZO MUHIMU KATIKA UCHAMBUZI WA TAMTHILIA HII
1) Dhamira/Lengo/ Mintarafu/ Kusudi: Nijambo linalokusudiwa na mwandishi/
lengo kuu la mwandishi.
2) Maudhui:Jumla ya maswala yanayozungumziwa na mwandishi
3) Falsafa:Msimamo wa mwandishi kuhusu jambo fulani analoliandikia.
4) Muwala: Mtiririko wa vitushi/ mawazo katika kazi ya fasihi.
5) Usuli: Asili /hali inayomzunguka mwandishi na ambayo humchochea kuandika
kazi ya fasihi k.m. usuli wa mwandishi waweza kuwa anazungukwa na jamii
iliyojaa uongozi mbaya / ufisadi ndiyo maana anaandika kuhusu maudhui hayo.
6) Mandhari:Mahali ambapo wahusika wanatekelezea kazi ya fasihi. K.m. njiani,
shuleni n.k.
7) Wahusika: Ni viumbe ambao huendeleza mawazo ya mwandishi katika kazi ya
fasihi. Wahusika waweza kuwa binadamu, Wanyama, viumbe halisi au wa
kidhahania (wa kufikirika tu).
AINA Z A WAHUSIKA KATIKA FASIHI
1) Wahusika wakuu
• Huchukua nafasi kuu na kukuza kazi ya fasihi.
• Matendo yote muhimu huwahusu.
• Dhamira kuu ya mwandishi na falsafa/ msimamo wake hudhihirika
kupitia kwa wahusika wakuu.
2) Wahusika wadogo
• Hawana nafasi kubwa.
• Aghalabu husaidia hadhira kujua zaidi mhusika mkuu na dhamira yake.
3) Wahusika wasaidizi
• Hujenga wahusika wakuu na kukuza maudhui. Aghalabu huja na
kutoweka baada ya muda mfupi.
• Uainishaji Mwingine wa Wahusika
4) Wahusika bapa/ Wahusika wa mraba mmoja
• Huwa hawabadiliki katika hulka/ sifa zao.
• Mhusika bapa anaweza kuwa na tabia nzuri au hasi kuanzia mwanzo hadi
mwisho.
5) Wahusika duara/ wahusika wa miraba minne
• Huweza kubadilika kisaikolojia.
• Huwa na sifa nyingi.
• Wahusika bapa vielelezo
• Huwa na tabia za kubadilika ila hujikita katika mtazamo wa mwandishi
na hadhira yake.


MWONGOZO WA CHOZI LA HERI(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADIDITHI ZINGINE
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHOZI LA HERI NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIDAGAA KIMEMWOZEA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE
MWONGOZO WA CHECHE ZA MOTO