Maudhui na sifa za wahusika katika tamthilia ya Bembea ya Maisha

Maudhui na sifa za wahusika katika tamthilia ya Bembea ya Maisha

Maudhui na sifa za wahusika katika tamthilia ya Bembea ya Maisha

Maudhui na sifa za katika tamthilia ya Bembea ya Maisha
MAUDHUI NA YA MAISHA SEHEMU YA KWANZA ONYESHA YA 1, 2, 3
Maudhui ni jumla ya mawazo yote inaozungumzwa katika tamthilia
Katika tamthilia ya tunapata maudhui mbalimbali ambao hujitoke katika sehemu tofauti.
1. Maudhui ya ndoa
Katika sehemu ya kwanza tunapata Yona anaoa Sara na kuishi pamoja
Ndoa ya Yona na Sara imejaa changamoto mbali mbali kama vile kukosa mtoto wa kiume , na vile vile kuteseka kutokana na maradhi ambayo imesababishwa na kuteseka na kuchapwa na mumewe kwa wakati mwingine,
Tunapata Yona anashauriwa kutafuta mtoto wa kiume njee ya ndoa ama kuoa mke mwingine.
Tunapata wasichana wa kisasi pia wanashiriki katika ndoa na kusahau mandugu yao
Neema mtoto wake Sara anashiriki kwa ndoa na Bunju baada ya elimu yake na kuzaa watoto.
2. Maudhui ya utamadani

Mtoto wa kiume huwa kiungo kikubwa sana cha familia kulingana na utamaduni wa jamii za kiafrika.
Tunapata Sara anakosa kujaliwa mtoto wa kiume hali ambayo wanajamii wanaona si sawa hivyo basi wanaanza kumshauri Yona aoe mke wa pili ili amzalie mtoto wa kiume. Aidha anashauriwa kutafuta mtoto wa kiume nje ya ndoa lakini anakataa kushaurika kisa na maana ana msimamo wake na hataki ushawishi wa watu kwenye ndoa yake.


MWONGOZO WA KIDAGAA KIMEMWOZEA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADIDITHI ZINGINE(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHOZI LA HERI(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHOZI LA HERI NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA KIGOGO NOTES(Opens in a new browser tab)
MWONGOZO WA CHECHE ZA MOTO