Maswali za mapambazuko ya mchweo na hadithi zingine
Maswali za mapambazuko ya mchweo na hadithi zingine
DOWNLOAD Maswali za mapambazuko za mchweo na hadithi zingine.
MASWALI YA MAPAMBAZUKO YA MCHWEO NA HADITHI NYINGINE
a) FADHILA ZA PUNDA
1. Kwa kutaja mifano mitano kutoka kwenye hadithi, Eleza ni kwa nini hadithi hii ikapewa anwani ya “Fadhila za punda’’
2. Fafanua sifa za wahusika wafuatao kama zinavyojitokeza katika hadithi hii
i. Luka
ii. Lilia
iii. Babake Lilia
3. Jadili nafasi ya mwanamke katika hadithi hii
4. Eleza Dhamira ya mwandishi wa hadithi hii
5. Taja na ueleze umuhimu za tamathali zozote Nne za lugha zilitotumika katika hadithi hii.
b) MSIBA WA KUJITAKIA
6. Jadili maudhui yoyote matatu yanayojitokeza katika hadithi hii
7. Jadili mbinu zozote nne za kimtindo zilizotumika katika hadithi hii
8. Eleza sifa na umuhimu wa wahusika wafuatayo
i. Sugu Junior
ii. Machoka
iii. Zuhura
9. Eleza kikamilifu ni kwa nini jimbo la matopeni halijahuhudia maendeleo ya kisiasa tangu nchi kupata uhuru
c) MAPAMBAZUKO YA MCHWEO
10. Jadili ufaafu wa anwani Mapambazuko ya Mchweo
11. Eleza maudhui makuu ya hadithi hii
12. “….siyo Yule wa kujishaua mbele zako huku akifisidi rasilmali ya Nchi …..”
i. Eleza muktadha wa dondoo