MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADIDITHI ZINGINE
MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADIDITHI ZINGINE
CLICK HERE TO DOWNLOAD MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA
Yaliyomo
Tumbo Lisiloshiba Said A. Mohamed………….1.
Mapenzi ya Kifaurongo KennaW asike………. 17
Shogake Dada ana Ndevu Alifa Chokocho ………31
Shibe Inatumaliza Salma Omar Hamad ……..41
Mame Bakari Mohammed Khelef Ghassany……45
Masharti ya Kisasa Alifa Chokocho ……53
Ndoto ya Mashaka Ali Abdulla Ali ……62
Kidege Robert Oduori …….70
Nizikeni Papa Hapa Ken W alibora ……..76
Tulipokutana T ena Alifa Chokocho……. 82
Mwalimu Mstaafu Dumu Kayanda……….. 88
Mtihani wa Maisha Eunice Kimaliro….. 96
Mkubwa Ali Mwalimu Rashid ………104
Dhamira
Dhamira ni funzo kuu litokanalo na kazi ya sanaa au lengo kuu la
mwandishi. Mwandishi wa hadithi ya T umbo lisiloshoba alidhamiria kufunua uozo unaoletw a na ubinafsi na tamaa katika jamii. Aidha anawajasirisha wanaoathiriwa kuw a wanaweza kukubali madhila wanayofanyiwa ama kupinga dhulma hizo na kusimama wima na kutetea haki zao.
Ufupisho wa Hadithi.
CLICK HERE TO DOWNLOAD MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA
Hadithi hii inaang azia maisha ya watu wanaoishi katika mtaa wa
Madongoporomoka, mtaa ambao umepakana na jiji linalokuwa
kwa kasi mno. Jiji hili limeshiba kwa wingi wa mijengo iliyojengwa kiasi chakuanza kutishi au wepowa mtaaduniwa
Madongoporomoka. Uvumi unawakia wanamadongoporomoka
kwamba mtaa wao utanyakuliwa ili upanuzi wa mjiukie eneo hilo.
Mwanzoni ulianza kama tu uvumi uliokuja na kupita bila ya
wanamadongoporomoka kuw a na uhakika nao. Ingawa uvumi huo
uliishiakutoweka , Mzee Magoka tu hakuwaruhusu wanamadongo poromoka kutupilia mbali wazo la uvumi huo kutimia na wao kuishia kufurushwa. Anawaleta pamoja wanakijiji wenzake
ili kutafuta suluhishi kwa tatizo lililokuwa limewakodolea macho.
Kwa pamoja wanakijiji wote wanakubaliana kutoondoka na liwe
liwalo. Hata ikiwawatafurushwa, wanaamua kutetea mtaa wao na
kusalia.
CLICK HERE TO DOWNLOAD MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA