GRADE 3 CBC REPORT CARD

GRADE 3 CBC REPORT CARD

GRADE 3 CBC REPORT CARD

An easy to fill report card for assessment subjects covered plus their strands and sub-strand. Your work is just to tick as per the expectation.This is for grade 3 and it is adapted as per the topics in grade 3 syllabus. At the end their is an exam assessment and recording sheet for each term.Updated with Hindu and islamic religious activities


GRADE 3 CBC REPORT CARD

SHUGHULI ZA KISWAHILI

Viwango:KUZ-kuzidisha matarajio,KUF-kukaribia matarajio,MB-mbali na matarajio

Weka alama kuashiria kiwango cha mwanafunzi

ipasavyo

KUZKUFKUKMBMAPENDEKEZO
1.0SHAMBANI
1.1Kusoma
Kutambua sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja
Kutamka sauti lengwa ifaaavyo
Kusoma silabi za sauti lengwa
Kusoma maneno,vifungu na hadithi zinazohusisha sauti lengwa
1.2Msamiati
Kutambua na kueleza maana ya msamiati unaohusisha shughuli za shambani
Kutunga sentensi akitumia msamiati wa shambani
1.3Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza masimulizi kuhusu shambani kwa makini
Kutaja na kueleza vifaa vinavyotumika shamabani
Kueleza shughuli zinazofanywa shambani
1.4KUSOMA HADITHI
Kusoma hadithi za picha zinazohusu shamba
Kusikiliza hadithi zikisomwa na kujibu maswali kwa usahihi
Uchangamfu wa kusoma hadithi
1.5KUANDIKA
Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada
1.6SARUFI
Kutumia nafasi ya tatu wakati ujao- umoja na wingi katika sentensi kwa usahihi
Kusoma na kuandika vifungu na nafsi ya tatu kwa umoja na wingi
2.0UZALENDO
2.1Kusoma
Kutambua na kutamka sauti mbili tofauti zinazotamkwa pamoja
Kusoma silabi za sauti lengwa
Kusoma hadithi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa
Kusoma kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa
2.2MSAMIATI
Kutambua msamiati ambao unaohusiana na uzalendo
Kueleza maana ya msamiati unaohusiana na uzalendo
Kutumia msamiati wa uzalendo katika sentensi
2.3Kusikiliza na kuzungumza
Kutambua na kuyatumia maneno yanayoonyesha uzalendo katika mawasiliano
Kusimulia visa vinavyojumuisha mambo yanayoweza kuimarisha uzalendo
Kuonyesha usikivu kupitia kusikiliza masimulizi
2.4KUSOMA HADITHI
Kutambua rangi za bendera
Kusoma na kutambua maneno yanayousiana  na uzalendo
Kusoma na kusikiliza hadithi kuhusu uzalendo
2.5KUANDIKA
Kuandika kisa kifupi kwa hati nadhifu kulingana na mada
2.6SARUFI
Kutunga sentensi akitumia (-ake-na-ao)
3.0MIEZI YA MWAKA
3.1Kusoma
Kutambua na kutamka sauti mbili zinazotamkwa pamoja
Kusoma silabi za sauti lengwa
Kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa
3.2MSAMIATI
Kutambua miezi ya mwaka
Kuandika majina ya miezi ya mwaka kwa mfuatano
Kutunga sentensi kwa kutumia majina ya miezi
3.3Kusikiliza na kuzungumza
Kusikiliza masimuliza kuhusu miezi ya mwaka
Kusimulia kuhusu matukio katika miezi tofauti
3.4KUSOMA HADITHI


GRADE 1 CBC REPORT CARD
GRADE 2 CBC REPORT CARD
PP2 CBC REPORT CARD
PP1 CBC REPORT CARD